Home Videos

PART 1 – HISTORIA YA UISILAMU NCHINI CONGO (YouTube Video Transcript)

Need transcripts for other videos? Try our YouTube Transcript Generator →
Title: PART 1 – HISTORIA YA UISILAMU NCHINI CONGO
Duration: 00:28:49
Total Correct Answers:
Current Caption
Correct

Learning Modes

YouTube Video Transcript Hide

Ask AI Result

The ask AI result will appear here..
(00:00:00) Your YouTube transcript will appear here (00:00:00) [Muziki] (00:00:10) Naam. Alhamdulillah. Alhamdulillahi (00:00:13) wasalam rasulah. (00:00:15) Asalamu alikum warahmatullahi (00:00:17) wabarakatuh. Naam watazamaji wazuri wa (00:00:20) Guardians of the Truth Swahili kama (00:00:22) kawaida msimulizi wenu Sheikh Abuardiz (00:00:24) nakuwa nimerejea leo najua mnakuwa (00:00:26) mmenubiria sana programu yetu kwa juu ni (00:00:28) soli show kwa problem nyingi ambazo (00:00:30) zikiendelea ndani ya maisha ya kila mtu (00:00:32) kwa hiyo ni ulazima unakuwa umekosea (00:00:35) sana kuwa kama hauna link kama (00:00:36) hautufuatilii Guardians of the Truth kwa (00:00:38) juu ina mambo mengi sana matamu kwa hiyo (00:00:41) leo pia tumerudia inshallahu taala (00:00:43) katika programu yetu kama kawaida (00:00:45) maswala mbalimbali ambayo yanaweza (00:00:47) yakakuchanganya Kwa hiyo kwa leo bidin (00:00:49) Rahmani (00:00:51) mimi ni msimulizi wenu Sheikh Abu Dizbt (00:00:53) kama kawaida na leo imekuwa tofauti (00:00:56) Allah ametujalia ametuneemesha (00:00:58) ametubariki kwa studio zetu kuwa kama (00:01:01) tumepata bahati ya kumpokea ya kumpokea (00:01:05) na kumkutana mmoja katika masheikh wetu (00:01:08) wakubwa katika nchi yetu ya Congo. Kwa (00:01:11) hiyo eh anaenda kutufafanulia katika (00:01:14) mambo ambayo yalikuwa yakitusumbua (00:01:16) kidogo. Inshallah. Naomba Sheikhe (00:01:19) ujibainishie kwa watu kidogo inshallah (00:01:21) waweze kuelewa. Naam. Alhamdah. (00:01:28) Alamu alikum warahmatullahi wabarakatuh. (00:01:30) Waalaikum salam warahmatullahi (00:01:32) wabarakatuh. Naam. Kwa majina bidini (00:01:34) tabarak wa taala naitwa Sheikh Abu (00:01:37) Mardhiah. M ama Sheikh Abu Marzuk. Midhi (00:01:42) tabarak wa ta'ala. Naam. Sheikh asanteni (00:01:45) sana. Tunakushukuru sana kuwa kama (00:01:47) umeitika mwito wetu na ukakuja hapa (00:01:50) kwenye studio zetu za Guardians of the (00:01:51) Truth Swahili. Hali inaendeleaje kule (00:01:53) ambako mnapoishi? Naam. Tunapo kuishi (00:01:58) alhamdulillah m kwa kila hali (00:02:00) tunamshukuru Allah Subhanahu wa ta'ala. (00:02:02) Alhamdulilah tunamshukuru Allah. Sasa (00:02:04) kwa leo mtazamaji mzuri programu ambayo (00:02:07) tuko ndani yake katika meza yetu (00:02:08) tunataka tujue Sheikh tunataka (00:02:10) atubainishie (00:02:12) historia ya uislamu ndani ya nchi ya (00:02:15) Congo. Tunasikia kwamba ndani ya nchi ya (00:02:19) Congo Uislamu uko chini sana ni deprusa. (00:02:23) Uislamu ni deprusa. Ndani ya nchi yetu (00:02:25) ya Congo. Na ukristo ama yaani madini (00:02:29) visomo vingine ni nan. (00:02:32) Kwa hiyo Sheikhe tunaomba yaani utueleze (00:02:36) kidogo tupatie taarifa utubainishie (00:02:38) historia ya uislamu ndani ya Congo. (00:02:41) Uislamu mnakujaje yaani imekua imekuwa (00:02:44) namna gani mpaka Uislamu ukawa kwa (00:02:46) kiwango hicho na umekuja namna gani (00:02:49) katika nchi yetu ya Congo. Naam Sheikh (00:02:52) naomba tafadhali. Naam narudia tena (00:02:55) kumshukuru Allah Subhanahu wa ta'ala pia (00:02:58) nakuwashukuru (00:02:59) kunikaribisha katika studio hii (00:03:02) inshallahu taala. Mh. Eh (00:03:06) na mimi nilikuwa na hamu kubwa sana mh (00:03:09) nilikuwa na hamu kubwa sana (00:03:11) uweze kuzungumzia jambo hili na (00:03:14) alhamdulillah Allah akaona wapatia (00:03:17) taufik m na nyinyi mkawa mnalifikiria (00:03:20) bidinah alhamdulillah. Eh jambo la (00:03:22) kwanza ndugu mtangazaji Sheikh Abu (00:03:24) Bardizba. Naam. Nitakufahamisha kwamba (00:03:29) kuko kitu utanisamehe kwanza. Nasikia (00:03:32) wewe unazungumza swahili ya Tanzania (00:03:34) nini. Sasa mimi shida ya Kiswahili (00:03:37) nitazungumza kiswahili cha Congo. Hakuna (00:03:39) shida nikole. (00:03:41) Hakuna shida. Alhamdulillah. Naam. (00:03:43) Inshallah. Eh tuko na problemi hapa (00:03:46) Congo m Republica Democratic Congo m (00:03:51) kwanza kuna tromperi. Tromberi unaijua (00:03:55) Tromberi udanganyifu udanganyifu ah kuna (00:03:58) udanganyifu fulani m wanadanganya (00:04:02) viongozi viongozi wanadanganya wanasema (00:04:05) kwamba Congo ni pei laiki m pei laiki m (00:04:11) inamaanisha kwamba in maana kila dini (00:04:15) iko huru m kila dini iko huru peiki pei (00:04:20) laiki m kila dini niko huru kama ni (00:04:23) protesta wa semema m sedekambe (00:04:27) malam sevent (00:04:30) anglikan sijui adventist wako huru (00:04:33) waende na vyao na waislamu waende na (00:04:36) vyao m tuko pamoja ndio ndio sheikh (00:04:38) lakini ukajiuliza swali ni kile ambacho (00:04:42) umetangulia kesi ya kabambi iko nini m (00:04:45) kwa nini uislamu inakuwa depursa m na (00:04:49) ile depursa ni uongo haiko iko libre (00:04:53) haiko libre ni maana dini ya kiislamu (00:04:56) ukisema haiko libre maana haiko huruiko (00:04:59) huru au hauko huru ile eh haiko (00:05:02) wanasemanga libati libat kwa angle (00:05:05) nakuelewa vizuri sasa na ile percentage (00:05:10) mbili depursa ile ni waislamu hawako (00:05:12) libre hata kidogo Allah kwa nini (00:05:15) muislamu hawezi we angalia mfano mh (00:05:21) pastor (00:05:22) M wa igiliza yeyote mh ni adventist de (00:05:26) Jehova mh (00:05:29) akachukua bibilia yake anatia makwapa (00:05:31) hapa mh anatembea mh anatiana msalaba ya (00:05:35) kabambi kushu akifika tu kudwani (00:05:39) kubarieri hana tatizo yoyote wanampitiza (00:05:42) kwa sasa atapita bila shida lakini wewe (00:05:45) muislamu ukiwa na ndevu kama zangu hivi (00:05:49) wewe hauna naomba Allah Subhanakujalia (00:05:54) Allahu Akbar na ile deprusa. Na kwa hile (00:05:56) alap ndio nataka kukuonyesha njoo (00:05:58) niingie kwenye swali ambalo umeniomba (00:06:00) ama ombi ambalo umeniomba nikuelezea (00:06:03) uislamu congo ulianza aje mpaka ikakuwa (00:06:05) depo sa miaka na miaka hii m Sheikh (00:06:09) akikamata qurani ama asiwe na qurani m (00:06:12) atembee tu afike kubari na ndevu zake na (00:06:15) kanzu yake na kiremba chake kwa kichwa (00:06:18) akifika tu kubarieri (00:06:21) watamcontrole (00:06:24) watamcontrole M kila kitu ni lazima (00:06:27) muingize kule kukashambri kule (00:06:29) wamchunguze wamtoshe nguo wangie kila (00:06:32) kitu kila kitu na wakati ingine anaweza (00:06:34) akakataliwa Allah kab (00:06:38) ilaha nikupe kidogo m eh nilipata (00:06:41) kusikia kwenye taarifa ya habari najua (00:06:43) mko nazo nyinyi kama watangazaji m eh (00:06:47) huyu Malon m (00:06:50) wa Amerika si ndiye Donald Trump Donald (00:06:53) Trump Mhm. (00:06:57) Alitangaza kwamba kuna baadhi ya nchi (00:07:00) ambazo hataki karibu nchi 10 12 hataki (00:07:04) watu wa hizo nchi waende Ameriki. (00:07:09) Lakini ukiangalia target ya hizo nchi (00:07:10) nyingi ni Waislamu nchi za Kiislamu (00:07:14) hataki. Akazungumza sasa ah hatutaki (00:07:16) watu ambao watakuja Amerika kuwa (00:07:19) kuwaharibishia maisha waamerika. (00:07:23) Waislamu wananchi wake sasa ni kwamba eh (00:07:26) kwanza jambo la kusema kwamba Congo iko (00:07:28) peila ike ni uongo. Congo ni nchi ya (00:07:32) kikatoliki (00:07:34) ni nchi ya kikafiri bimaana. Mh. Sasa (00:07:38) ule uislamu ambao uko ndani mh ulikuja (00:07:44) hadi ikawa leo? Hapo hapo hapo hapo m (00:07:47) jambo la kwanza ndio mtangazaji (00:07:48) nitakufahamisha kwamba m eh kuna kitu (00:07:51) kinaitwa kuna kuna dhulma fulani (00:07:53) ilifanyiwa waislamu ndani ya Congo. (00:07:56) Dhulma nikisema dhulma b maana eskrokeri (00:07:58) m (00:08:00) kuna escrokeri waislamu walifanyiwa ama (00:08:02) unyanyasaji (00:08:04) wa walifanyiwa waliwanyanyasa kwa sababu (00:08:07) gani eh uislamu (00:08:11) uliingia ndio wa kwanza ulianza kuingia (00:08:13) ndani ya nchi ya Congo m kabla hizi (00:08:16) madini hazijaingia katolike. A ah eh (00:08:20) Uislamu ndio unaanza kuingia ndio (00:08:22) ulianza kuingia uliingia namna gani m (00:08:26) eh miaka za milisa (00:08:31) 1982 (00:08:34) mh (00:08:36) 18 m 1892 m (00:08:42) ukiteremka chini ya milande maanake (00:08:48) kushuka A kule chini m Waarabu (00:08:52) walikuwa na (00:08:55) mazoea yao m ama abitide tunasema kuitwa (00:08:58) abitide m unajua (00:09:02) mtume sallallahu alayhi wasallam (00:09:04) alituambia aseme (00:09:07) aya (00:09:09) waarabu walipokuwa kwao waarabuni (00:09:11) wamejua uislamu m (00:09:15) na walibahatika kupata mtume Muhammad (00:09:18) alhi wasallam ilibidi watembee katika (00:09:21) nchi za Afrika walikuwa wanatembezwa na (00:09:23) mambo mawili m jambo la kwanza ni katika (00:09:26) kuweka hadithi hii katika vitendo m (00:09:29) maana wanatembea kwa kutangaza dini pili (00:09:32) walikuwa wanatembea kwa kufanya biashara (00:09:34) comerse za comerse hor m dhahabu m za (00:09:39) dhahabu (00:09:41) sasa walikuwa wakiteremka wakitoka (00:09:43) uarabuni wanateremka Egypt m Misri mh (00:09:47) wanateremka wanakuja Sudan Sudan (00:09:49) wanaingia Uganda, Uganda, Kenya Kenya (00:09:53) Tanzania m Congo kinachowapeleka ni (00:09:57) kutembeza dini na kufanya biashara. M (00:09:59) sasa Congo hawakuingia. Walichelewa (00:10:01) kuingia Congo. M na ndio maana (00:10:03) ukaangalia uislamu kama wa Sudani, (00:10:07) Kenya, Uganda, Tanzania ni Uislamu ambao (00:10:10) una hatua uko na paza mingi sana (00:10:12) umeendelea uko na development kushinda (00:10:14) Congo. M ni kweli kabisa. H ni kwa (00:10:16) sababu gani? Wao walipokea waarabu (00:10:19) mapema. M sasa walikuwa wanakuja kuingia (00:10:24) Congo. Congo ilikuwa ni msitu mkubwa (00:10:26) sana. Ukiona ile wanaita for equatorial (00:10:32) equatorial ilikuwa ni pori m sasa mna (00:10:36) minyama mikali m mna mush m wanaita mush (00:10:41) mh (00:10:42) sijui kwenu mnaitaje lakini kwa (00:10:46) kifaransa tunaita mhes ikikuuma vizuri (00:10:49) ikikuuma mara moja (00:10:52) unapata usingizi unalala m ikikuuma sasa (00:10:56) vilikuwa vingi na minyama kama mikali (00:10:58) kama Elefa kuko malio maleopare eh (00:11:02) mabifle m sasa ilikuwa hawawezi kuingia (00:11:05) tena unajua wakati ule maendeleo hakuna (00:11:07) barabara sijui ndege hakuna m sasa (00:11:10) wakachelewa kuingia sasa wanakuja (00:11:12) wakiingia sudan unajua kwamba Sudani iko (00:11:15) na peili mitrofi na Congo ni majirani m (00:11:18) ni majirani Uganda m ni majirani ni (00:11:21) majirani sasa wanapenyeza hawawezi (00:11:23) kuingia Congo kwa sababu ya hizi shida m (00:11:26) sasa wakaendelea hivy wakaendelea. Sasa (00:11:28) walipofika walipoenda (00:11:31) mpaka Tanzania m na wao wanajua kwamba (00:11:35) Congo katika bidhaa zao ile comerse yao (00:11:38) m m watapata zaidi kabisa. Ndani ya (00:11:42) Congo kuna nani? Uganda walikuwa (00:11:44) hawapati vizuri. Kenya hawapati vizuri (00:11:47) mambo ya oro Madiama walikuwa hawapati (00:11:50) vizuri kabisa. (00:11:54) Sa wana hamu waingie Congo. M wakati ule (00:11:57) inaitwa Zaire. Zaire. Eh. Kabisa kabisa. (00:12:00) Naam. Sasa walipokuwa wanaingia m (00:12:03) walipofika Tanzania mh (00:12:08) wakapata kanjia akapata kanjia kuingia (00:12:11) Congo. Wako Tanzania pale kanjia (00:12:14) wanakapata kupitia lak Tanganyika. M (00:12:18) m Luck Tanganyika. Sasa watoke namna (00:12:22) wakiwa hapa Kenya hakuna namna wakiwa (00:12:26) Uganda hakuna namna ya kuingia Congo. (00:12:28) Wakiwa Sudan hakuna namna ya kuingia kwa (00:12:30) shida zile ambazo nimekuambia. Sasa (00:12:33) Tanzania wakapata kanjia kakupenyeza kwa (00:12:36) maji m kupitia mai ya Laki Tanganyika (00:12:41) wakaenda mpaka province ya Manyema. (00:12:44) Manyema. (00:12:45) province ya manyema m kindu (00:12:51) kabisa hiyo province maana ukihesabia (00:12:54) province unatoka province ya nor kivu (00:12:56) unaenda seed kivu unapanda uvira uvira (00:13:00) unafika manyema unaingia province ya (00:13:02) manyema ndio unaendelea hadi m sasa (00:13:04) walipokuwa wameingia manyema waarabu (00:13:07) alhamdulilah wakabahatika eh wakaanza (00:13:10) viashara vyao m wakapata mashallah kwa (00:13:14) sababu (00:13:15) Nchi ya Congo ni nchi tajiri m ni nchi (00:13:17) tajiri mno sana mam ina madini mengi (00:13:21) sana naam sasa (00:13:23) hapo wakaanza wakafunza dini na ndio (00:13:26) maana tukiangalia katika nchi ya Congo (00:13:28) ndugu mtangazaji Congo ukiangalia (00:13:31) provinsi ya Manyema ndio provinsi ya (00:13:34) kwanza ambayo imeendelea sana kwa (00:13:35) uislamu kwa nini nataka nikujulishe sasa (00:13:39) ukiangalia province ya Norkivu Sid Kivu (00:13:42) Chopo sijui (00:13:44) ah hizo zote kwenye kunaendelea sana (00:13:47) uislamu na masheekhe wengi ambao (00:13:49) wamejitahidi kusoma congo wanapatikana (00:13:52) katika nchi nani province ya manyema (00:13:56) sasa waarabu ni kwa sababu gani ni kwa (00:13:57) sababu ndio sehemu waarabu walifikia m (00:14:00) hapo alhamdulilah wakapata viashara vyao (00:14:02) walikuwa wanatafuta m na wakafanya nini (00:14:06) wakajenga misikiti pale wakaanza (00:14:08) kuhubiri dini wakatangaza dini wavijana (00:14:13) watu wakubwa wote wakasilimu m wakati (00:14:16) walikuwa wanasilimu wamekuwa waislamu (00:14:18) wakaanza kujenga misikiti wanajenga (00:14:21) madrasa m (00:14:23) sasa ni lazima m na wao kinachowatembeza (00:14:27) bali (00:14:29) wala aya kinachowatembeza ni hicho ni (00:14:31) lazima wafundishe na wavijana ama (00:14:33) wafundishe waislamu na wao watembeze (00:14:35) dini m sasa ukaanza kufundisha vijana (00:14:38) wanafundisha vijana sasa wakapata tatizo (00:14:42) unajua hapa aki mwarabu akishakupata (00:14:46) anakuja na mambo mawili mh akishakupata (00:14:50) dhahabu m ni lazima atarudi wapi aende (00:14:53) sokoni kwao m sasa hapa nani atabaki (00:14:57) anafundisha yeye ndiye alikuwa (00:14:59) anafundisha hakuna yeye ndiye alikuwa (00:15:01) imamu m sasa nani ataswalisha watu nani (00:15:04) atafundisha watu kwenye madrasa m (00:15:07) wakafanya fikra mh (00:15:10) ah ni lazima mh tuchukue baadhi ya (00:15:13) vijana m tukiwa tumepeleka commerce zetu (00:15:17) yaani marsha ndize yetu tumeipeleka (00:15:19) kwetu m tuende na vijana waende wasome (00:15:24) wakisha kusoma wanarudia hapa ndio (00:15:27) watasimamia hizi misikiti ambazo (00:15:29) tumejenga mamoske watasimamia mamke (00:15:31) tumejenga watasimamia maole koraniki (00:15:33) ambazo tumejenga wakaanza kupeleka (00:15:37) na hapo dawa sasa ikawa inaanza (00:15:39) inapanuka inakomala inakomala (00:15:42) inaanza kuteremka inakuja uvira uvira (00:15:45) inateremka inakuja bukavu kwa hivyo ndio (00:15:47) sasa unajua (00:15:49) nani bukavu m na mji wa goma karibu na (00:15:53) karibu ni karibu na karibu m kinacho ni (00:15:57) maji pekee yake ni laki laki kivu ndio (00:15:59) inawagawa m laki kivu naam sasa (00:16:04) unakuta watu wa bukavu hasa hasa sana (00:16:06) comerse zao wanafanyiwa wapi ni vile ya (00:16:08) goma sasa ikasababisha dawa itoke mbio (00:16:11) bukavu Ikakuja wapi? Ngoma. Tena Bukav (00:16:13) wakapata bahati kwa sababu wao wako na (00:16:16) mupaka na nani? Na Burundi. M tena (00:16:19) waarabu wameanzia Burundi mbele waingie (00:16:21) wapi? Congo. Kumbe uislamu umepata (00:16:24) umefika umefika Burundi kabla hujafika (00:16:27) nini? Congo. Sasa hawa watu wa Bukavu (00:16:30) wanafanya comerce Nor Kivu m na (00:16:33) wanafanya comerse Burundi. M tena huku (00:16:36) wakienda Burundi wale ambao wamesilimu (00:16:38) wanapata kusoma kwa uislamu na huku (00:16:39) waarabu wanawasomesha. mh ah kwa sababu (00:16:43) waarabu hawakuishia manyema pekee yake (00:16:45) walitembeza dawa hivo hivyo hivyo na (00:16:47) ndio wanafanya coneral zao sasa watu wa (00:16:50) mka wakawa wamefaidika sana kwa uislamu (00:16:52) ndio wakauingiza na na norivu norivu m (00:16:57) Norkivu naye ikapanuka kwa uislamu (00:16:59) uislamu ukapanda mpaka (00:17:03) oriental oriental (00:17:06) akbar zile zinakuwa province ngapi nne (00:17:08) inakuwa manyema ndio (00:17:11) Mh inakuja Bukavu ndio Sid Kivu m (00:17:15) inatoka Sed Kivu inakuja Nor Kivu (00:17:17) province ngapi hizo? Tatu ikakuja mpaka (00:17:21) provinsi orientali kapitale yake ama (00:17:23) shef yake inakuwa ni kisangane (00:17:26) sasa uislamu ukawa sasa unatembea sasa (00:17:30) vijana ndio wanaenda kusoma wengine (00:17:31) wanarudi unaona dawa sasa uislamu (00:17:33) umechemka unaendelea m (00:17:37) Sheikh Abuardizba ndio sheikh Sasa (00:17:41) Allah Subhanahu wa ta'ala alituambia (00:17:44) katika qurani (00:17:53) hawa watu m makafiri yaani mayahudi na (00:17:57) wanaswara wakristo hawatotufurahia (00:18:00) hawataridhika hawatakuwa (00:18:03) na furaha (00:18:05) mkinywa yao mwili zao mpaka wafanye (00:18:09) nini? Sisi tufuate mila zao. Walifanya (00:18:12) chuki kwa uislamu. (00:18:14) Walipitia walipitia njia ya wabelish (00:18:18) wabel makolonisat yetu ya Congo. Mabel (00:18:22) wakati wazungu. Naam. Wazungu wakati (00:18:24) wameingia pale nimekuambia tuko miaka za (00:18:27) milisa m milisa (00:18:32) nono kushuka chini. Milisa. (00:18:35) Naam. Sasa tunaenda kufika Mumir Wisa (00:18:38) nonande Uislamu umeisha kukamata mizizi (00:18:42) mpaka tumekuwa na mwalimu Sheikh alikuwa (00:18:45) anaitwa Sheikh Mohammad Tipo Tipo. (00:18:48) Sheikh Mohammad Tipo Too Tipo Tipo mh (00:18:50) alikamata province zile zote hizi nne (00:18:53) akawa ni mufti (00:18:56) ama amir mh uislamu unakomala sasa (00:19:00) umekomaa mpaka wakafutia sheria islamike (00:19:04) Allah waislamike sharia ya uislamu (00:19:07) ikaanza kutumika unaiba (00:19:10) ni lazima unapita kwenye hukumu namna (00:19:12) Allah subhanahu wa taala kwamba (00:19:17) ina maana A Sheikh unachotaka kumaanisha (00:19:19) naam ndani ya nchi ya Congo ijapokuwa ni (00:19:22) deprus (00:19:24) kushatulia kuwa Uislamu ushawahi (00:19:28) yaani sheria yake ishawahi yaani kuwa (00:19:30) kama inatiliwa ndani mwachi hii ya (00:19:33) Congo. Sheikh Abdul Barizba nataka (00:19:35) nikufahamishe hii depusa nimekuanzia (00:19:38) mbali nataka nikulete mpaka kwa depur (00:19:40) ili ufahamike utakaporudi (00:19:44) ama namna unatangaza tangaza mambo zako (00:19:47) ujue kitu gani ambacho kilikuwa (00:19:50) utaelezea unaweza kuexike watu nini m (00:19:53) kwa sababu hii stwari yenye nakupatia m (00:19:56) waislamu wa congo utakuta ni wachache (00:19:58) sana wawe masheekhe wawe maamuma utakuta (00:20:02) ni wachache sana ambao Unajua hii stori (00:20:04) kwa sababu imepotoshwa yaani wamecle (00:20:07) kabisa wakiifuta (00:20:09) isionekane na isijulikane. (00:20:12) Tunaelewana? Sasa nataka nikulete hii (00:20:14) depur m Uislamu ndio dini ya kwanza (00:20:17) ambayo ilitangulia ndani ya nchi ya (00:20:20) Congo tungali maleupol maleupol vile (00:20:23) sijui uislamu ndio ulitangulia province (00:20:27) zile zikawa zinaongozwa na Sheikh (00:20:29) Mohammad Tipo Tipo na akaweka sharia (00:20:33) ukizini azani waania tuajidu (00:20:37) hivo hakuna mzaa ukiimba mkono unakwenda (00:20:42) Allahu Akbar. Sheikh aliongoza tangu Mil (00:20:45) Wisan M (00:20:49) mpaka milon aliongoza na miaka hii miaka (00:20:52) mbili. Sheikh Allah mtu kafiri ni mbaya (00:20:56) m (00:20:58) kafiri ni mtu mbaya sheikh m haraka sana (00:21:03) wazungu wa belge wabolonizat (00:21:07) walijua ni kitu gani kinataka kuingia (00:21:09) ambayo waliongoza nchi ya cono naam (00:21:11) walikoloniza nchi hii ya ya conwa (00:21:16) waliangalia wakasema eh (00:21:19) m hapa kuna kitu kinataka tokea kuna (00:21:21) kitu kinatokea (00:21:24) mtu anaiba wanamkata mkono m kweli aseme (00:21:27) eh mara moja walifanya system walikuja (00:21:32) wakaingia mwa vijana wanaingia wakijua (00:21:36) kwamba kwa Sheikh Abu Bardizba ametoa (00:21:38) vijana wake wameenda Saudia kusoma ama (00:21:40) wameenda katika nchi za warabuni kusoma (00:21:42) m wanakuja wanamwambia unajua nini hao (00:21:45) waarabu wako wanapeleka watoto wenu (00:21:47) kuwafanya watumwa kule (00:21:49) wakaingiza sasa fitina Sheikh fitina (00:21:51) katikati ya watu (00:21:56) waliingiza fitina wakaanza kuwaambia (00:21:57) watu kwamba hao waarabu hakuna (00:21:59) chenyewatafuta hapa unaona wewe wanakuja (00:22:02) wanachukua wako wanakamata maminere (00:22:05) maoro, madiama wanaenda kwao wanaenda na (00:22:08) vijana wenu wanaenda na vijana wenu ndio (00:22:10) wanaenda kuwafanya watumwa waende (00:22:12) watetezi maminere ah wanaadangan (00:22:15) wanaenda kusoma (00:22:17) Allahu Akbar unajua mzungu m Sheikh She (00:22:21) nadhani una elimu kunizidi kwa hilo. M (00:22:25) mzungu kila anapoingia anadanganya watu (00:22:27) kwanza na pesa. Aliingia na pesa (00:22:30) mkoloni. Akadanganya vijana akadanganya (00:22:34) watu m maake alitumikisha tromperia (00:22:37) nguvu sana. mh akamwambia mnaona kwa (00:22:41) nini hao wako wanakuja kukamata minerea (00:22:44) hapa m vijana wote wanawekea maskini (00:22:47) kama wanataka kuwasaidia kwa nini kwa (00:22:50) nini basi fanyie ile minere hapo hapa (00:22:52) hapa vijana wapate franga na bakue (00:22:55) patron m (00:22:57) unaona unaona ndugu mtangazaji nakupata (00:23:00) vizuri lakini ukiangalia namna (00:23:05) wakoloniza yaani wabel walikaa ndani ya (00:23:08) nchi nchi ya Congo mpaka kwenda kutolewa (00:23:10) mgongo mbili nafsi swanti m miaka yote (00:23:14) hawakuacha hata izine ya kutengeneza (00:23:16) shindani Allahu Akbar ya kushona nguo (00:23:21) izine izine ya kutengeneza hawakufanya (00:23:23) nini na huku wamedanganya watu wasema ah (00:23:26) kwa nini hawa barabu wasitengenezee (00:23:29) maizine watengeneze juba viend wapate (00:23:31) nguvu wakongolee wenyewe walikuwa ile (00:23:35) wakati sijui kama na leo ni vile mh ah (00:23:40) balikamata ile ideolojia wabelsh m (00:23:44) wakaitia humu mpaka wakaanza kupiga (00:23:46) waarabu vita wakapiga waarabu vita (00:23:49) wakapiga waarabu vita vijana wakakuwa (00:23:52) tena hawaende kusoma m sasa wakati (00:23:54) wanapiga waarabu vita bali waislamu na (00:23:58) wa vijana kumbuka kwamba hakutakuwa (00:24:01) tunaweza kuita ilikuwa ni dau laislamia (00:24:04) wakati huu m kwa sababu ilikuwa ni nchi (00:24:06) ambayo ina (00:24:07) inahukumu na sheria inahukumu na sheria (00:24:09) m ni lazima kutakuwa nini ni lazima (00:24:12) kutakuwa na nguvu fulani m kutakuwa na (00:24:16) nguvu fulani hauwezi ukasimamisha sheria (00:24:20) mpaka uwe na cha kuich tutaangalia kule (00:24:23) mbele bidinah sitaki nikuchukulie muda m (00:24:26) nataka nikulete hadi kwenye swali lako (00:24:30) ama ombi lako ambalo umeniomba (00:24:34) demandi yako nataka nijibu ndugu zangu (00:24:36) Eh mtazamaji tunaendelea na historia ya (00:24:39) Congo. Historia ya uislamu ndani ya (00:24:41) Congo. Nadhani wakati unatufuatilia eh (00:24:43) tunaendelea Guardians of the R Swahili (00:24:45) tunakuletea mambo mbalimbali ambayo (00:24:47) ulikuwa umeisahau. Naam sheh tuendelee (00:24:49) hivi lenda program. Naam. Mh (00:24:53) nimekuambia (00:24:54) fitina iliingia katikati ya Waarabu. (00:24:57) Bajen venye walikuwa wanaenda kusoma (00:25:00) Waarabuni m wakakuwa hawaende tena. na (00:25:03) waislamu sasa ni waislamu wanaita (00:25:08) le praticamba (00:25:11) wanaweka katika vitendo vitendo yeye (00:25:14) anasema kwamba umeiba aseme ndio kama (00:25:17) umefika niswabu nakupeleka (00:25:20) nakupeleka kujifice banakukata mkono (00:25:24) ile kusudi wale wengine wasikuje wakaiba (00:25:26) tena baada ya kuona tutakuwa tutafika (00:25:30) usio na haraka usitembeze haraka (00:25:32) tutafika huko Sawa m naam sasa m fitina (00:25:37) iliingia wakachukua vijana wakaanza (00:25:38) kuwapatia makazi huko m wanaingia vijana (00:25:41) wanapeleka makazi waislamu sasa uislamu (00:25:44) ukaenda unakufa unaporom vijana sasa (00:25:47) unaporomoka uislamu hauende tena unaanza (00:25:50) kuwa kilema unaanza kuwa kilema unaanza (00:25:52) kuwa kilema mpaka mumil (00:25:57) pale miaka miwili sheikh mohammad (00:26:00) tipotipo kuongoza Mh wavijana wote (00:26:03) wakakuwa wametolewa kwenye fikra ya dini (00:26:07) ile ide na ile kuraji ya dini walikuwa (00:26:09) nayo ikakuwa imeshakutolewa. Allah. Sasa (00:26:14) wakawaingilia Waislamu kuwapiga. (00:26:16) Waliua waislamu mwezi province sheikh (00:26:20) Allah waliua waislamu kina m manyema (00:26:24) kule wakaua waislamu bokavu sidikivu (00:26:27) wakaua waislamu goma wakaa waislamu (00:26:29) kisanganyi. Waislamu wakawavuruga kabisa (00:26:32) mpaka Sheikh Muhammad akapotea hivo hivo (00:26:36) akawa uislamu ulirudia nini? Chini. Sasa (00:26:41) ukristo katolike ikawa imejitokeza (00:26:45) katoliki katoliki m wakajenga (00:26:48) kanisa yao kubwa katedrale yao kubwa (00:26:51) wakajenga mji wa buukavu mvile buukavu (00:26:54) hadi leo hadi leo m (00:26:58) mi nikikuambia sememe roho roho ya romi (00:27:00) m papa papa wa roma ule roho yake dunia (00:27:05) mzima iko bukavu (00:27:07) ehe mwafrika nzima afrika nzima roho (00:27:11) yake ameiweka Bukavu m ndio fasi ya (00:27:14) kwanza amejenga katedrale yake kupitia (00:27:17) wab hawa m wakawa wamejenga sasa (00:27:21) katoliki katoliki wakaipatia nguvu (00:27:22) wakaipatia nguvu ikawa inajulikana (00:27:25) sememe ah dini yenye kuwa na nguvu (00:27:28) mkongo ni nini ni katoliki lakini baada (00:27:31) ya kufanyia waislamu dhuluma kama hizi (00:27:34) escrokeri (00:27:35) kumbe waislamu ndio makatoliki ndio (00:27:38) wanaanza kuwapiganisha waislamu. Naam. (00:27:42) Ni kweli Sheikhe. Nadhani nakumbuka (00:27:44) katika kitabu cha Allah Allah Subhanahu (00:27:46) wa taala alituambia (00:27:53) hiyo ni aya ya Quran. M (00:27:56) naam m Allahu Akbar. Kwa hiyo (00:28:01) asanteni sana Sheikh umetukumbusha mambo (00:28:03) mengi sana. Kwa hiyo watazamaji wazuri (00:28:05) wa Guardians of the Swahili nimekuambia (00:28:07) sisi tunakuletea mambo ambayo utashangaa (00:28:09) mwenyewe. (00:28:12) Endelea na kuwa pamoja na sisi Bidh (00:28:14) Rahman katika programu yetu utakuwa (00:28:15) unapata mambo mengi zaidi. Ulikuwa (00:28:18) unajua historia ndani ya Congo. Ulikuwa (00:28:21) unajua ugomvi kati ya Uislamu na ukafiri (00:28:24) ulianzaje ndani ya Congo? Ulikuwa unajua (00:28:27) solisho show gani ambayo itatengeneza (00:28:29) nchi ya Congo? Endelea kuwa kama (00:28:30) unatufuata inshallahu taala. Leo (00:28:32) nimekuwa msimulizi wenu Sheikh Abu Badiz (00:28:35) nikiwa na mgeni wetu sheikh mkubwa ndani (00:28:37) ya nchi ya Congo Sheikh Abu Marzuk (00:28:39) inshallah. Kwa hiyo tutaendelea bid (00:28:41) Rahman na program kama kawaida inshallah (00:28:44) siku nyingine Allah akipenda (00:28:48) alikum warahmatullah.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *