↔
Title: PART 4 HISTORIA YA UISILAMU NCHINI CONGO
Duration: 00:22:39
Total Correct Answers:
Current Caption
Correct
Learning Modes
YouTube Video Transcript Hide
Ask AI:
Export as:
Ask AI Result
The ask AI result will appear here..
(00:00:00) Your YouTube transcript will appear here
(00:00:10)
Naam. Alhamdulillah. Alhamdulillahi
(00:00:13)
wasamah
(00:00:16)
w asalamu alaikum warahmatullahi
(00:00:19)
wabarakatuhu. Habari zenu watazamaji
(00:00:21)
wazuri ambao wanaendelea na kufuata TV
(00:00:24)
yetu ya Got Swahili. Eh tunawasalimieni
(00:00:27)
kule kokote ambapo mnatupata kila mtu
(00:00:29)
sehemu alipo. Kwa hili na kazi mwendalie
(00:00:32)
kutumika muendelee kuwa kama
(00:00:34)
mnatufuatilia inshallah taala. Leo pia
(00:00:36)
nimerudia mnajua vizuri mkiona hivi
(00:00:39)
ndani ya mechi yako anakuwa Sheikh
(00:00:41)
Abubadb amefika na program yetu kama
(00:00:43)
kawaida maswala mbalimbali ambayo
(00:00:45)
yanaweza yakakuchanganya. Kwa hiyo leo
(00:00:47)
tunaendelea na programu yetu historia ya
(00:00:50)
uislamu nchini ya Congo. Niliwaambia
(00:00:52)
kwamba muislamu yeyote na mtu yeyote
(00:00:54)
hata asiwe muislamu ana haki anastahiki
(00:00:57)
sana kuwa kama anaelewa kitu gani
(00:00:59)
ambacho kinaendelea pale katikati ya
(00:01:01)
Uislamu na Congo. Kwa nini Uislamu na
(00:01:03)
nchi ya Congo haviendani vizuri? Naam.
(00:01:06)
Leo pia nimepata bahati na kubarikiwa
(00:01:08)
kuwa sheikh wetu kawaida kama kawaida
(00:01:11)
Sheikh Abu naomba Rahman nusalimie watu
(00:01:14)
pia leo tumerudia naye inshallah. Naam
(00:01:16)
ni Sheikh Abu Mardhiah. Sheikh Abu
(00:01:18)
Mardiah. Abu Maruzok. Alamu alaikum
(00:01:20)
warahmatullahi wabarakatuh. Waalaikum
(00:01:22)
salam warahmatullah. Sheikh asanteni
(00:01:24)
sana kuwa kama pia leo umeweza kuwa kama
(00:01:27)
una karibia ama umejibu mwito wetu.
(00:01:30)
Sheikh inshallah kwa kutochukua muda
(00:01:32)
naomba bidinah tuanzie hapo hapo
(00:01:34)
tulipokoma ile siku. Inshallah. Sheikhe
(00:01:37)
mwisho unatuambia historia ya uislamu
(00:01:40)
kwamba uislamu baada ya kujengeka
(00:01:44)
unafika deprusa. Waislamu wanibakia
(00:01:46)
waislamu majina na inasemekana kwamba ni
(00:01:49)
peilaike. Kila mtu yuko na uhuru wa
(00:01:52)
kufuata dini ambayo anapenda. Lakini
(00:01:54)
mwisho unatuambia na ile deporusa
(00:01:57)
imeshuka tena imeenda kwa eh porusa kwa
(00:02:01)
nini kitu gani ambacho yaani kitu gani
(00:02:05)
ambacho kinaacha uislamu wa kung
(00:02:07)
unachuka tena tunaona maischi mengine
(00:02:09)
uislamu unafanya nini unapanda kwa nini
(00:02:11)
nchi ya Congo Uislamu unashuka
(00:02:16)
Alhamdah.
(00:02:35)
Naam. Inshallah taala Sheikh Abu
(00:02:37)
Bardizbah tena tukirudia
(00:02:39)
katika teme yetu Uislamu ndani ya Congo
(00:02:43)
ni kweli
(00:02:45)
tuko obligation m tuko mobligation kwa
(00:02:49)
sababu Allah Subhanahu wa taala
(00:02:51)
alituambia aseme
(00:02:56)
kwa kweli sisi kama tumejaliwa Allah
(00:02:59)
azza wajatujalia tukapate ingalau alif
(00:03:02)
moja ama mbili ni lazima Allah Subhanahu
(00:03:05)
wa taala atatuuliza katika ile neema
(00:03:07)
alitupatia sisi tulitumika nini ama
(00:03:09)
tulifanyia nini m ndio maana inabidi
(00:03:12)
tuikae na waislamu
(00:03:14)
na wale ambao haiko waislamu wako
(00:03:16)
mkonfio ya kujua uislamu ni nini kwa
(00:03:20)
sababu
(00:03:22)
nitakupatia
(00:03:24)
kidogo m eh watu hawajui kama uislamu ni
(00:03:29)
dini m watu hawajui kama uislamu ni dini
(00:03:33)
m juu ya kile kitu nilikuambia ile siku
(00:03:35)
ya ASB association association libre ile
(00:03:39)
association
(00:03:41)
ile association libre m
(00:03:46)
ile ilisababisha watu wenyewe wamesoma
(00:03:51)
waka ah ile haikwake dini ni asociation
(00:03:55)
ni saa vile watu wamefanya
(00:03:57)
mdfanya
(00:03:59)
pd ni sa vile watu wamefanya
(00:04:03)
maake tu ni chama kama chama lakini
(00:04:05)
haiko dini
(00:04:07)
na ile walifanya wale viongozi eh yaani
(00:04:11)
wadirij wenye walidirije na wakakubali
(00:04:13)
komiza ikuwe m balikuwa ni objective
(00:04:17)
wanaangalia tir del banapiga mbali sana
(00:04:20)
kule m lakini si venye uislamu si
(00:04:23)
tunaishia hapa kurido m tunaangalia hapa
(00:04:26)
kurido lakini macho bali wanaangalia
(00:04:28)
mpaka kule nyuma ya ridido m bali kama
(00:04:32)
bali kama uislamu hawawezi kuitikia
(00:04:34)
endelee kwa sababu gani nitakuambia
(00:04:36)
uislamu ni dini yenyewe inapatia mtu
(00:04:39)
kila mtu liberty yake na kuvare yake na
(00:04:42)
duua zake m sasa hawa wadirija yaani
(00:04:47)
viongozi m wakitangaza uislamu na
(00:04:51)
uendelee mbele na uku
(00:04:55)
mpratike
(00:04:58)
viongozi hawatapata wazi na uislamu
(00:05:02)
hutama vitu m ahafanya sasa watu wajua
(00:05:07)
ni nini kitu cha kwanza cha pili
(00:05:11)
eh wale viongozi
(00:05:15)
kuitikia uislamu na
(00:05:18)
bukue mkongo laike m baliima sauti
(00:05:25)
madini zingine zikapata sauti mfano
(00:05:27)
nitakupatia m muislamu amu kusimama na
(00:05:31)
atukane ama aongee vibaya kudini mh
(00:05:36)
ingine mara moja anelamkamata
(00:05:40)
mh anafungiwa
(00:05:43)
lakini pastel anaweza simama
(00:05:47)
anasimama mkanisa ama ku kupib m
(00:05:53)
anatukana uislamu vile anataka anatukana
(00:05:57)
Allah ngoja nikupe mfano mh mimi
(00:05:59)
nilishuhudia siku kulikuwa semina
(00:06:03)
ya wakristo ilikuwa mvili ya goma mh
(00:06:07)
eh
(00:06:11)
pastor alitukana uislamu m akasema
(00:06:15)
waislamu ni watu wanaabudu wanaabudu
(00:06:18)
pako na kamungu wako na kamungu kab
(00:06:20)
waislamu hawaabudu mungu wako na kamungu
(00:06:22)
kabu wanaita ala bana akaita ala ala
(00:06:26)
tena kuzimu waislamu ni watu ya kuzimu
(00:06:29)
ndio maana ukaona wana asali wanatia
(00:06:32)
matako yulu wanatia kichwa chini bako
(00:06:34)
naomba kamunguka kule ala ala na kuanga
(00:06:37)
kule chini hakuna mtu wa kumgusa m
(00:06:40)
maanake pastor
(00:06:42)
na wahubiri wote wa kikristo walipewa
(00:06:45)
ya kutukana uislamu vile wanataka lakini
(00:06:47)
muislamu asifanye nini m sasa huyu
(00:06:49)
muislamu mwenye alisilimu aliingia dini
(00:06:52)
ya kiislamu
(00:06:54)
ama mwenye alizaliwa ni muislamu
(00:06:57)
vinaenda vinam Uua nguvu m kwanza ngoja
(00:06:59)
nikupe mfano
(00:07:01)
unaona mtoto akienda kwa masomo m mtoto
(00:07:04)
umemsomesha primer ah maternel m niko na
(00:07:08)
nitakupatia histori kidogo kuna complex
(00:07:11)
kolere moja complex kolere wanaita
(00:07:15)
lajua m
(00:07:17)
iko mvile ya goma sijui kama
(00:07:19)
ulishakafika
(00:07:21)
vile goma kotea katindo kule terminis
(00:07:24)
maanake terminis ukitoka katindo
(00:07:26)
kuterminis
(00:07:28)
iko
(00:07:29)
complex kolere iko pale m mi niliwahi
(00:07:33)
kushuhudia
(00:07:35)
kulikuwa mama
(00:07:37)
mbali wa garden m yikuwa anafundisha
(00:07:40)
watoto anawaambia sema amefanya dese
(00:07:45)
anachapa
(00:07:47)
yesu huku m m m eh anachapa na anachia
(00:07:50)
na foto ya Muhammad huku huku anachapa
(00:07:53)
Yesu yuko na mabombo na biskui kuna Eh
(00:07:57)
vitu vya mzuri mzuri vile vile vile air
(00:07:59)
mtoto anakamata Muhammad foto ya
(00:08:02)
Muhammad anatia kwa anatia anampatia ni
(00:08:06)
masitro m sitro m ndimungu anampatia
(00:08:10)
vitu vya miba miba m sasa anaambia
(00:08:13)
anaona teresa anamwambia anakwambia yesu
(00:08:15)
wapi juu juu juu sana m muhammad wapi
(00:08:21)
chini chini chini sana unaona ile
(00:08:25)
ideolojia nyakuwa unapatia mtoto Mh.
(00:08:27)
Kisha anawauliza ukienda kwa Yesu
(00:08:29)
utapata nini? Kwa Yesu utapata bisiti.
(00:08:32)
Utapata na bombo kwa Muhammad utapata
(00:08:35)
nini? Atakutobora na mimba atakutobora.
(00:08:39)
una kwenye manoa mule ndani njoo mko
(00:08:41)
mtoto wako barizba iko ndani mtoto wangu
(00:08:44)
mardhia iko ndani unadhani huyu mtoto
(00:08:47)
akirudia kwa nyumba ama wamemwanzia
(00:08:49)
maternela
(00:08:51)
katra sen anaenda prim anaanza premier
(00:08:55)
prim
(00:08:56)
religionfundisha
(00:09:01)
ideoloj idolo dini yenyefundisha kule
(00:09:05)
wanamfundisha
(00:09:09)
Yesu ni Mungu. Yesu ni mwana wa Mungu.
(00:09:12)
Mh.
(00:09:15)
B Mungu ni watatu. Mungu baba Mungu
(00:09:17)
mwana, Mungu Roho Mtakatifu. M ule ni
(00:09:20)
mtoto wangu Bardizba. mh ni mtoto wangu
(00:09:23)
mardhia ni mtoto wangu
(00:09:25)
iko anasoma vile m kumbuka alijianzia
(00:09:28)
kule kumernela
(00:09:31)
anaenda mpire vile ataanza premier
(00:09:33)
primere mpaka sehem premere ideologico
(00:09:36)
inamuingia inapanda inapanda
(00:09:41)
anaenda premier anaenda mpaka anaanza 3
(00:09:46)
secondary
(00:09:48)
kule nenda wamup Kis
(00:09:51)
mle mko shapit wanaita wanaisomesha
(00:09:54)
wanaita mahome el islam mahome yaani
(00:09:57)
Muhammad na uislamu
(00:09:59)
mle ndio anatukana uislamu vile anataka
(00:10:01)
Muhammad alikuwa ni hivi Muhammad
(00:10:04)
wanatukana watukana sasa mtoto kuliko
(00:10:07)
uislamu uendelee unakuta kesho unafuga
(00:10:09)
kwako ni wa murtad
(00:10:12)
m haiko waislamu m uislamu unarudia
(00:10:15)
chini unarudia chini kabisa kumbuka huku
(00:10:17)
mapastele wako wanatukana makanisa M
(00:10:20)
bansenya m wanafunzi alimuak naaua roho
(00:10:25)
za wanafunzi sheikh alfit
(00:10:29)
m ni afadhali wakristo wangekamata
(00:10:32)
mipanga wakamate ma wakamate kile k
(00:10:35)
wanataka baue wababa na wamama wote wa
(00:10:38)
kiislamu lakini bila kuwa hii generation
(00:10:40)
m
(00:10:42)
kuomboka kwako uislamu utaendelea sheikh
(00:10:44)
abu barizba utaendelea namna gani
(00:10:47)
ulioa mwanamke Umu Bardiz basi ndio m
(00:10:50)
Abu Bardiz mko wangapi? Mko wawili
(00:10:52)
mmezao watoto watano. M
(00:10:56)
pale kwa macho ya kwa macho ya watu
(00:10:58)
uislamu umefanya nini? Waislamu
(00:10:59)
wameongezeka m kumbe hamkuongezeka hawa
(00:11:03)
watoto wote juu. Kumbuka kila mtoto
(00:11:04)
ampeleka kuek aende asome. Kila akisoma
(00:11:07)
ni ideolojia za kikafiri zenye
(00:11:08)
anasomeshwa kule hasomeshwi uislamu.
(00:11:11)
Nafunga wakristo mnabakia nyumba mko
(00:11:14)
waislamu hapa wawili pekee yake na wale
(00:11:17)
wengine
(00:11:18)
wewe atabakia tu anakuheshimiana
(00:11:21)
kuonyesha kwamba niko muislamu niko
(00:11:23)
muislamu lakini nani bardizba akioa
(00:11:26)
kesho m hatakuwa muislamu anarudia kwa
(00:11:29)
ile itikadi yenyewe alimfundisha depern
(00:11:31)
kabisa f wako akiolewa hanifa m
(00:11:35)
hataolewa na muislamu
(00:11:38)
ama hakudanganye hapa kumariesha useme
(00:11:39)
ni muislamu lakini utaskia kula
(00:11:41)
alishakuwa naye libre sasa na mimi niko
(00:11:43)
kwangu m na shikomande anarit unamsikia
(00:11:46)
aseme hanifa ulimpa mtu said ase said na
(00:11:49)
hanifa wako mkanisa Allah asemie tena
(00:11:53)
anaenda anaokoka mbele wanamtia mbele ya
(00:11:55)
pibl mbele ya watu mie walikuwa ananiita
(00:11:58)
sheikh said ile siku atajiita sheikh na
(00:12:01)
ni mtu hata kusoma hajawahi yasarna
(00:12:03)
kusoma juzu ama hayaisoma lakini anasema
(00:12:07)
mie njo sheikh said mie vile mnaniona
(00:12:11)
Eh sasa nimeokoka nimejua kama Yesu ni
(00:12:14)
mwokozi na bwana wa maisha yangu sasa
(00:12:17)
mimi nimeokoka oh ameokoka m
(00:12:23)
na njoo vile nikiwa na mke wangu Hanifa
(00:12:25)
mtoto wako
(00:12:27)
Hanifa naye nilimleta naye babake ni
(00:12:31)
fulani tena unaona naye amekuja kuokoka
(00:12:34)
na mie njoo nilikuwa nishakapotea njoo
(00:12:36)
vile mh unaona vile uislamu unaenda
(00:12:39)
mnarudia nyuma kile kiliacha habupande
(00:12:42)
kutoka mdepursa isipokuwa mkaenda
(00:12:44)
mkashuka chini
(00:12:47)
idol sasa nilikuambia la passua
(00:12:54)
vita kulikuwa vita opération sokola
(00:12:59)
opération sokola m ilikuwa ni vita
(00:13:03)
gouverne ya congo iliprepare kwenda
(00:13:06)
kupiga kuna watu wanaitwa waf
(00:13:09)
waf
(00:13:11)
nalu naluf
(00:13:13)
nalu m wanasema ni waislamu m
(00:13:19)
tuko pamoja m
(00:13:23)
kule naisha jua m wale ni ufu kwa sababu
(00:13:29)
bariao wanapigana nao kulikuwa maoperas
(00:13:32)
tangulia sijui maoperas amani leo
(00:13:34)
kulikuwa kama operaso the last night of
(00:13:37)
North m ni maopera nilikuwa naapiga
(00:13:40)
shaka wa ADF m sasa wakaenda m kila
(00:13:44)
wakaenda kule wanapata picha Uislamu
(00:13:45)
wanapata uislamu sasa kulikuwa operasio
(00:13:48)
moja original yenyewe walipreparate
(00:13:50)
Demil wanaenda kupiganisha wafaka
(00:13:53)
kuwapiganisha njoo kilikia kikadhihirika
(00:13:56)
aseme eh tulikuwa tunafunga macho kwa
(00:13:59)
sababu miaka yote na leo mpaka leo
(00:14:02)
kwenye wako siri yenye fichulia waislamu
(00:14:05)
na wenyewe haukuwa waislamu
(00:14:08)
Guvernema ya Congo inabakia inaambia
(00:14:10)
watu ah Lebel zugande ADF barebele wa
(00:14:16)
Uganda waasi wa Uganda walivamia nchi ya
(00:14:20)
Congo sio unanipata pale m
(00:14:24)
siri yao wanajua kwamba wale watu ni
(00:14:25)
waislamu m hawahisi kusema waislamu ahah
(00:14:29)
wanabakia wanasema wakongomani barebele
(00:14:33)
ugande walikia wakavamia nchi ni waganda
(00:14:35)
walikia kuvamia nchi nchi yenu mh
(00:14:37)
banataka kubatosha nchi yenu mh
(00:14:42)
pale kanapita pale inakuwa wakati ingine
(00:14:45)
anasema ah ni bamizilma bani ni
(00:14:48)
bamizilima kila maasikia eh
(00:14:51)
bamizilima
(00:14:53)
maake na mimi watanikamata m anatosha
(00:14:56)
kiremba
(00:14:58)
anatosha kanzo anaficha ama anaviuzisha
(00:15:01)
m eh walikuwa wanamuita muhammad alikuwa
(00:15:04)
anamuita abubakar musa anabadilisha
(00:15:06)
jireme minjo tro m we minjo jepierre m
(00:15:12)
anabadili una vile uislamu unaenda
(00:15:14)
mnarudia nyuma m anaogopa nini atakuja
(00:15:18)
kumkata atasema niko niko wa adf eh
(00:15:22)
kaseni waislamu watakiwa kuniita na mimi
(00:15:24)
niko adf m
(00:15:26)
sasa uislamu ukaenda ukarudia nyuma kwa
(00:15:28)
leo na kilisaidia guvernment sana ile
(00:15:31)
sasa nyuma walikuwa wanatortile uislamu
(00:15:35)
kimpang
(00:15:36)
Uislamu kisrf
(00:15:39)
ilitokea sirtum kivu beni butembo
(00:15:45)
kwenda ituri m kilisaidia sana guvern
(00:15:48)
ama kingali kinasaidia sana guvern
(00:15:51)
kutorti uislamu na kufinya uislamu
(00:15:54)
usiendelee ama usijulikane kila
(00:15:56)
wakikuona na ndevu
(00:15:58)
uko na karte del kwa muislamu
(00:16:02)
ndio maana ukajikuta muislamu nipe kila
(00:16:05)
hiki pastor anatoka Kinshasa m anaenda
(00:16:08)
Lubumbashi anaenda kwiru anaenda chopo
(00:16:12)
anaenda Ituri anatembea hana problema
(00:16:15)
yoyote na yeye muislamu kufika tu kwao
(00:16:18)
injili Kinchaso m kuonyesha tu paseporo
(00:16:21)
yako Abubakar problemi zinaanzia pale
(00:16:24)
hauko libre maanake ni muislamu iko na
(00:16:27)
kory iko na jina ya kiislamu haiko libre
(00:16:29)
kutembea mkongo tena anakuambia cono hii
(00:16:33)
laiki H pourquoi un pays laïque et je
(00:16:35)
suis je ne suis pas libre de circuler au
(00:16:38)
Congo dans mon pays hik nembe kwa nini
(00:16:43)
muislamu ah
(00:16:47)
banal banal banaluana sasa kile
(00:16:50)
kimesaidia tena uislamu kukufa na
(00:16:52)
mwenyewe alikuang msimamo
(00:16:55)
anaenda kumosk basi anaenda kisa akasema
(00:16:59)
ah ngani nibakilie nibakilie kukanisa
(00:17:04)
siku pata nisikie pata inambiwa nipeleke
(00:17:06)
ndolo banipeleke makala banipeleke kang
(00:17:10)
banipeleke unaona ile kilisaidia ndugu
(00:17:13)
yangu nani sheikh abubardizba kile
(00:17:16)
kilisaidia sana na kingani kinasaidia na
(00:17:19)
gene mimi kitumikisha ina maana
(00:17:21)
guvernema inatumikisha
(00:17:23)
sana neno la adf
(00:17:26)
kama inazidi kunyanyasa waislamu
(00:17:27)
kunyanyasa waislamu
(00:17:30)
kila kakicha kwa uislamu kenye katoke
(00:17:33)
angalia kitu natakiwa kukuambia
(00:17:36)
ukinikaribisha tena wakati ingine
(00:17:38)
nikuwekee wazi m
(00:17:41)
bo anajua kama ni uislamu m wanajua kama
(00:17:44)
adf ni waislamu lakini hawataki
(00:17:47)
kutangazia watu kama ni waislamu lerebel
(00:17:50)
zugand lerebel zugandbel
(00:17:54)
zugand hawataki kuwaambia watu wazi
(00:17:57)
kwamba wale ni waislamu kwa sababu
(00:17:59)
jeneso yote niko m mwa ile maeneo kama
(00:18:03)
ni Iringeti m Kokola
(00:18:06)
Wer m Maimoya m Maafi m Kamango Beni
(00:18:12)
Lubero
(00:18:15)
ya kiislamu yenye iko kule ama genesub
(00:18:19)
demokratike conoch
(00:18:22)
bali ni wandugu yetu waislamu kwa sababu
(00:18:26)
m wakishakujua kile M kumbe wale ni
(00:18:31)
wandugu yetu Waislamu mara moja
(00:18:33)
hawatafanya nini? Watajiunga na na ADF
(00:18:36)
ile wanaita ADF na hii ADF nitakuja ku
(00:18:40)
nikuelezee
(00:18:42)
sasa inshallah. Kwa hiyo ina maana eh
(00:18:45)
asante sana mzee wangu Rahman nadhani
(00:18:48)
mtazamaji mzuri unajaribu kukokota picha
(00:18:52)
kuona kuanzia tulipotokea kule chini kwa
(00:18:55)
Muhammad Tipo na sasa hivi hapa
(00:18:57)
tumevofika tunaendelea utazidi kuwa kama
(00:19:00)
unafafanuka kwa mambo mengi sana Sheikhe
(00:19:03)
siku ingine inshallah Allah akipenda
(00:19:05)
nataka uzidi kueleza na kuubainishia
(00:19:07)
watu EDF ni waislamu si waislamu wakiwa
(00:19:11)
ni waislamu kwa nini Nini walitumikisha
(00:19:15)
neno ADF? Mbona ni kama yaani ni kama
(00:19:18)
association association sawa ama parti
(00:19:21)
kama parti politike na pia yaani
(00:19:24)
ingaliki tena kuna mahabari zingine
(00:19:26)
ukiona unasema sijui eta Islamic yaani
(00:19:29)
watu wanachanganyikiwa adevu nalu
(00:19:33)
Islamike yaani kitu ambacho kiko
(00:19:35)
katikati ah Sheikh Abarizma ni kwa
(00:19:37)
sababu ya muda ulinipatia muda wangu
(00:19:38)
inaisha eh ningekuelezea watu watoke
(00:19:42)
mkonfus sijui ADF eh Islamike ah nipeti
(00:19:47)
problem sawa sawa sawa tunawashukuru
(00:19:49)
sana watazamaji wazuri inshallah kwa
(00:19:51)
hiyo kwa mwenyewe angalifuatilia
(00:19:53)
inshallah usijali program itakayoifuata
(00:19:55)
inshallah guardians of the truth swahili
(00:19:58)
inshallah utakuwa tunampata sheikh abu
(00:20:00)
marzuk naomba Allah amhifadhi azidi
(00:20:02)
kutueleza mambo ya uislamu ndani ya nchi
(00:20:04)
ya kongo inshallah nadhani picha unaanza
(00:20:07)
kuzikokota polepole unapiga mfano huku
(00:20:09)
na kule muislamu mkongomani
(00:20:12)
Lamka uislamu ulimwengu mlamke inshallah
(00:20:16)
program yenu kama kawaida maswala
(00:20:17)
mbalimbali msimulizi wenu Sheikh Abu
(00:20:20)
kabisa
(00:20:22)
alikum warahmatullahi wabarakatuh
