Home Videos

PART 2 HISTORIA YA UISILAMU NCHINI CONGO (YouTube Video Transcript)

Need transcripts for other videos? Try our YouTube Transcript Generator →
Title: PART 2 HISTORIA YA UISILAMU NCHINI CONGO
Duration: 00:22:39
Total Correct Answers:
Current Caption
Correct

Learning Modes

YouTube Video Transcript Hide

Ask AI Result

The ask AI result will appear here..
(00:00:00) Your YouTube transcript will appear here (00:00:00) [Muziki] (00:00:11) Naam. Alhamdulillah. Alhamdulillahi (00:00:13) wasamah. (00:00:16) Asalamu alaikum warahmatullahi (00:00:18) wabarakatuh. Watazamaji wetu wazuri wa (00:00:20) Guardians of the Swahili. Kama kawaida (00:00:22) programu yetu mnakuwa mnaisubiria sana (00:00:24) nadhani inawatamkia sana leo kama (00:00:27) kawaida mtangazi wenu Sheikh Abu (00:00:29) Bardizbat tunakuwa tunaleta masheikh (00:00:31) wetu mbalimbali kwa kutueleza maswala (00:00:34) mbalimbali ambayo tunahitaji kuelewa kwa (00:00:37) kutusaidia kwa dini yetu kwa hiyo leo (00:00:39) Rahman nimerejea tena na sheikh wetu (00:00:40) kama kawaida niliwaambia eh ambaye Allah (00:00:43) alitemesha kuwa kama tunamkutana Sheikhe (00:00:46) naomba bidhi Rahman uwasalimie watu tena (00:00:48) naam asalamu alaikum warahmatullahi (00:00:50) wabarakatuh waalaikum salam (00:00:51) warahmatullahi wabarakatuh. Tena kwa (00:00:53) jina ni Sheikh Abu Mardhiya m kama (00:00:56) kawaida inshallah. Naam Sheikh Abu (00:00:58) Mardhia asanteni sana kuwa kama na leo (00:01:01) pia umeonekana kuwa umekutana na sisi (00:01:03) inshallah. Kwa hiyo watazamaji wazuri wa (00:01:06) Guardians of the Thus kipindi (00:01:07) kilichopita tulikuwa na Sheikh ikiwa (00:01:10) anatupatia historia ya Uislamu ndani ya (00:01:13) Congo ambayo walikuwa wanatufuata (00:01:15) mlisikia vyenye alianza navyo ni (00:01:17) historia tamu sana ambayo inafaa kila (00:01:19) mkongomani na kila muislamu yeyote (00:01:21) ulimwengu aijue. Kwa hiyo eh tulikoma (00:01:24) mabel (00:01:26) katoliki inaanza inasimama inapata nguvu (00:01:29) ndani ya nchi ya Congo. Kwa hiyo sheikhe (00:01:31) eh tunaomba unatuongezea vipi (00:01:34) unatuongezea kitu gani kuhusu historia (00:01:36) ya uislamu ndani ya nchi ya Congo? (00:01:39) Naamahin (00:01:54) abdah (00:02:01) Naam Sheikhe mtangazaji Sheikh (00:02:04) Abuardizba (00:02:06) nimerudia leo tena 13 ju (00:02:10) sawasawa na le 17 m Dulhijja ni dua ile (00:02:17) 1446 (00:02:19) hijia inshallah taala. Naam. Naam. Sasa (00:02:23) eh nashukuru tena kunikaribisha mstudio. (00:02:26) Mh. (00:02:28) Tulikuwa tunazungumzia (00:02:31) historia ya uislamu ndani ya Congo. (00:02:33) Historia ya uislamu. Histori ya uislamu (00:02:36) ndani ya Congo. Unajua ndugu zangu m ni (00:02:39) jambo lizuri sana watu wajue uislamu (00:02:43) kabisa na hauwezi (00:02:47) mkiswahili kidogo yenye tunaibaiba (00:02:49) wanatuambia seme asiyekujua hakudhamini (00:02:54) maanake mwenye hakujui hawezi kupatia (00:02:55) val hawezi kupatia val wewe utafika pale (00:02:58) mimi nimeshakujua huko ndugu yangu (00:03:00) sheikhe abubardiza mtangazaji m (00:03:03) tukikutana kote muvi ile nitajua eh ule (00:03:05) mwenye hakujua kuangalia angalia tu kama (00:03:08) mtu mwenyeo pale kama pasaje pasaje pale (00:03:10) kabisa unaona lakini n ndio maana mi (00:03:14) nasema kama mtu hajui uislamu na hawezi (00:03:17) kudhamini uislamu hakiipatia valere m (00:03:21) ndio maana inabidi watu kwanza tuanze (00:03:24) hii tujue historia ya uislamu na tujue (00:03:27) uislamu ni nini tuweze kuupatia valere (00:03:29) tupate valere ya uislamu tukishakupata (00:03:33) valere ya uislamu tuulizane sasa swali (00:03:35) kama ume Umejua wewe uko muislamu kwa (00:03:39) sababu Allah Subhanahu wa ta'ala Sheikh (00:03:42) kuna aya moja inanitisha hapa ndani ya (00:03:43) Quran mh (00:03:46) kila nikipitia nikiwa nafanya muraja (00:03:48) katika Quran kila nikisoma aya (00:03:51) inamalizia Allah Subhanahu wa taala (00:03:53) anatuambia (00:03:59) ah m na leo umekuja Allah subhanah wa (00:04:03) taala anatuambia (00:04:05) usikufe mh ufike wewe kuingia (00:04:10) wakuingize mshimu m tombe wachimb kaburi (00:04:14) pale pakutia mwana ndani uhakikishe (00:04:18) umekufa uko muislamu (00:04:21) unanipata m aya nyingine akatuambia sasa (00:04:24) angalia hasara iko wapi m hizo aya (00:04:26) zinanogopesheka sana akatuambia aya (00:04:29) nyingine katika surat al imran aya ya m (00:04:35) ni chapitre 3 verset 85 Allah akatuambia (00:04:46) Allah akatuambia katika qurani kwamba (00:04:49) atakayechagua mwenye atashwa zile dini (00:04:53) ingine yenyewe haiko ya kiislamu eh o (00:04:56) ako na lingomba lisusu mwambie nilingala (00:05:00) Allah kupeleka nikakupeleka utapotea (00:05:05) hata ni kiswahili ya congo lakini (00:05:06) wanipatapata k kabisa nakupata vizuri (00:05:08) nakupata sasa m (00:05:10) Allah akatuambia mwenye atachagula dini (00:05:13) ingine yenyewe haiko dini ya kiislamu (00:05:16) ile dini yenye amechagula haitakubaliwa (00:05:19) kwake m ni maana kule ameanza kutuambia (00:05:25) usikufe isipokuwa hakikishwa kwa (00:05:27) muislamu ukakufa ukaingia ndani ya (00:05:30) kaburi mh hii roho eh imekutoka ukaingia (00:05:36) mkaburi na hauko muislamu wewe uko (00:05:39) katoliki mh uko protesta wa dhehebu (00:05:43) yoyote m nikisema protesta maana (00:05:46) protesta iko iko madhehebu tofauti ndio (00:05:49) mko mko se mko sijui sema sijui (00:05:54) amerikani wote wale ni waprotestan (00:05:57) eh kule kwenye unaenda subhanah (00:06:01) anakwambia ile dini yenye ulichagula (00:06:03) yenyewe umeenda nayo mbele yake m hata (00:06:05) ireconnect hata hii hata kureconnect m (00:06:10) unaenda muhasara (00:06:13) ile dini yenye nyuli chagula malamu wako (00:06:16) hatakubali anglikani yako hatakubali tem (00:06:19) jehova yako sijui (00:06:22) vile vyote hatavikubali hatavikubali (00:06:25) sasa anakuambia utakuwa ni watu ambao (00:06:27) wamepata hasara ni maana wamepata perch (00:06:30) Sasa ndio maana tunasema ni lazima eh (00:06:34) tujulishe Uislamu kwanza tujue historia (00:06:37) ya uislamu jua kongolee m kwa kweli (00:06:39) hatujui uislamu kabisa (00:06:42) njoo kwa nini nataka nikulete ile de m (00:06:46) ndugu mtangazaji nikwambie mh eh (00:06:49) wanatuambia (00:06:51) ni kweli wanasema uislamu mkongwe iko (00:06:54) deposa lakini ukumbuke kwenye (00:06:56) tulianzianga kule m walituambia (00:06:59) nilikuambia (00:07:00) kwamba Congo iko peiki ndio vile (00:07:03) wanasema m katoliki na protesta iku psa (00:07:11) uislamu ikuwe depsa kama niila ahah (00:07:15) haiwezekani unajua kwa sababu gani m (00:07:17) nataka nikuweke wazi (00:07:20) nikizungumza mh (00:07:22) ba madini ingine atasema ah ule ni (00:07:24) muislamu njoo maana anasema vile ni (00:07:26) fanatisme sijui nini ahah sasa tuingie (00:07:29) Kulojike m logjike kwa nini kama pe (00:07:33) aseme katoliki iko na dua ya kutembeza (00:07:35) dini yake vile inataka m sijui uislamu (00:07:38) utembeze dini nataka protestant atembeze (00:07:40) vile anataka nijue ya nini ny protestant (00:07:44) na bakatol mmeavance sana mpaka mnafika (00:07:47) pora wako kud (00:07:50) kuna kitu pale kuna kitu (00:07:53) ndio maana ile siku nilikuambia kwamba (00:07:56) weye huyu anaweza kuwa ni pastor anafika (00:07:58) kujuani bakimuona tu na bibilia yake (00:08:01) pastor jambo anapita haleluya amen (00:08:04) anapita kwa barieri anaenda (00:08:07) lakini we ni muislamu tu muislamu m (00:08:10) karte direct uko nayo m ama uko na (00:08:14) tenali porta mh (00:08:17) uko na tenali inakupitisha utembee east (00:08:20) africa vile unataka utembee lakini (00:08:23) wakikuona tu na ndevu ama kama hauna (00:08:25) ndevu hauna ndevu kukamata tu karte yako (00:08:28) ama paseporo yako kuiangalia tu jina ya (00:08:31) kiislamu wewe njoo Muhammad m asema wewe (00:08:34) njoo Abu Bardizba m ah matatizo inaanza (00:08:37) pale ndio maana kile kitu kimeacha (00:08:39) uislamu inabakia si deporsa na ile (00:08:41) deporusa nitakuweka wazi kwamba ni ya (00:08:43) uongo m deporusa ni ya uongo ni kitu (00:08:46) ambayo haiko haik Allah nataka kukuleta (00:08:50) kwa mada ya leo kama dakika zangu (00:08:51) zitaniitikia ndugu mtangazaji mh (00:08:55) nikuweke wazi na hii depoa ilikuje kwa (00:08:57) sababu ile siku nilikuambia kwamba babel (00:09:00) babel (00:09:04) kuangusha (00:09:06) uislamu da islamia yenye ilikuwa ya (00:09:08) sheikh (00:09:10) m ukatolike ndio ukasimama sasa tena (00:09:13) uislamu utaniuliza sasa hii depo sasa (00:09:15) ilitoka wapi ni venye walikuwa (00:09:17) walikimbilia mpori ama alijificha (00:09:20) lake ndio nitakuweka wazi ndugu yangu (00:09:23) sasa eh (00:09:27) ile mwaka mpaka wakati wabel wamemaliza (00:09:29) kuua waislamu mwezi province zenye ni (00:09:31) kutajia manyema sid kivu norivu na (00:09:34) orientale m uislamu ukapotea kabisa (00:09:38) ukapotea m lakini kuwabakia wale wale (00:09:40) ambao walibakia na chembechembe (00:09:43) za uislamu umbegu mbegu ulibakia bakia (00:09:46) mle ndani eh ule umrene wa uislamu yaani (00:09:49) ulibakia ndani kabisa (00:09:52) najua ndugu yangu muislamu m (00:09:57) waislamu amu ambao watanisikiliza (00:10:00) ama yeyote ambaye atanipata kuniona ama (00:10:02) kunisikiliza ajue kwamba haya nayongea (00:10:04) bila fanatism ni haki ambayo (00:10:07) inazungumziwa na sisi hatutaogopa (00:10:09) kuzungumza uhaki kwa sababu ni amri (00:10:11) Allah alitupatia (00:10:15) ni lazima tutazungumza m (00:10:18) uislamu ulipotea milan m (00:10:23) ikaingia mil nefsa mil nefsa (00:10:28) Mfsa 30 mil second hakuna uislamu. (00:10:32) Allahu Akbar umepotea. Umepotea (00:10:36) milfsa (00:10:38) swasandi. Sasa ah sheh ulivyozungumza (00:10:41) hivyo ndio maana tukitembeanga humu (00:10:43) ndani ya nchi ya Congo unakuta muislamu (00:10:45) yuko kule ama kwa shamba nini unamuuliza (00:10:47) wewe ndio nini? Mimi ndio Juma. Naam. (00:10:50) unaswalia wapi? Ah mimi sijui kibla ya (00:10:52) huku inanichanganya sijui mimi ni (00:10:54) muislamu lakini huku nilikuwa kamuislamu (00:10:56) me bishakaichanganya kwa juu sina kwa (00:10:58) kuvyofanyia lakini unanipata sawasawa (00:11:00) ndio nataka kuweka sasa wazi ni kwa nini (00:11:03) ile depole saa mbele sijafika pale ni (00:11:07) waislamu njoo mahali venye unasema (00:11:09) waislamu unamkuta ule ni muislamu siku (00:11:12) ya vanred m anaenda kumosk (00:11:16) anaenda kusikia hotuba ya ijumaa samd mh (00:11:19) anaenda kwa adventist kukanisa (00:11:23) kwa pastor dimasha anaenda kukanisa (00:11:27) huku ni m ijumaa anaikala yejo juma m (00:11:30) yeye njo mustafa yeye njo suleimani m (00:11:33) samd ikifika anakuwa jean paul (00:11:37) njoo uislamu ukimkutana asalam alikum (00:11:40) kwa juu tati yake ni mkatoliki ukimza (00:11:44) uko muislamu eh (00:11:46) nilikuaka uislamu (00:11:49) yote unanipata sasa ile njoo ile dep (00:11:53) sasa nakuleta nayo ilianza kwa sababu (00:11:55) hapa mumbir hakuna hakuna kabisa na (00:11:58) mwenye alikuwa (00:12:00) utaona mwenzako ameangusha pale tena (00:12:01) wewe ndio utoe adhana pale hauwezi uanze (00:12:04) tu ufanye Allah utoe adhani hauwezi na (00:12:07) ushaona damu ya mwenzako pale unakula (00:12:09) kweli utakula kwende mbio sasa (00:12:13) nimekuambia mil nefsa mil mpaka mil (00:12:16) second nefsa (00:12:19) njoo miaka ya bakolizat ya babelshe ile (00:12:21) wakati babelshe njana banaongoza (00:12:23) banaongoza hakuna muislamu kunyanguka (00:12:27) lezoidanto sheikh muislamu mwenyewe (00:12:30) hajue (00:12:32) ubaya m wa hawa watu wa magharibi (00:12:35) wazungu nikisema oxidant na namaanisha (00:12:38) mazungu m mwenye hajua ubaya wao njoo (00:12:41) leo aone kama ni watu kama ni watu wa (00:12:44) watamdanganya ch watamdanganich njo watu (00:12:46) wanaenda ya kuleta amani lakini eh (00:12:50) Monisco iko hapa Monisco hatujafika (00:12:53) nitakufikisha kule Monisco iko hapa (00:12:56) mkongo depuild (00:12:59) leo iko na ventuza mkongo ventua miaka (00:13:05) 23 mkongo wanasema tuaka kuleta amani (00:13:10) balianza ni monike sijui akageuza monike (00:13:12) inakuwa monisco eh amani iko wapi mkongo (00:13:15) hakuna hakuna mambo yanazidi kuvurugika (00:13:18) utaangalia utakuta vent utakuta sijui (00:13:20) tomarobi jua sijui (00:13:24) si unaona sasa wazungu hawaleti kwa (00:13:27) uislamu walichukia uislamu mil tangu (00:13:31) walitoa hii daislamia mum (00:13:34) mpaka mil nefsand m wakina lumumba (00:13:38) wakasimama bakasavubu wakasimama (00:13:41) wakaanza kuwapiga vita vita vita vita (00:13:44) pandas ikaingia mumi (00:13:46) 1960 (00:13:49) yaani ni le ju m (00:13:52) le 30 ju maanake tarehe 30 ya mwezi wa (00:13:55) sita hii tuko ndani sasa mwaka wa milfsa (00:14:00) swand yaani (00:14:03) 19 m na makundi sita yaani 60 (00:14:09) babakuwa wametolewa wakafukuziwa m congo (00:14:13) wakapata independance eh kapata (00:14:15) independence saba naam wakapata uhuru eh (00:14:19) saba alipata independence (00:14:22) mil nefseng (00:14:24) miles septant m (00:14:27) 1970 70 tena nja sasa waislamu wakaanza (00:14:31) kujijenga (00:14:33) wale waarabu wale wazungu hawako ah (00:14:38) waarabu hao walifukuziaka kabisa (00:14:40) walienda nyinyi mnawakamata watoto wetu (00:14:43) watoto mnawapeleka (00:14:45) Aabu kule mnaenda kuwafanya klaze (00:14:48) ilikuwa ni fitina ililetewa na hawa (00:14:50) wabele. Wabelje wakatia fitina waarabu (00:14:52) wakaziendea zake ambayo hawakuacha hata (00:14:54) mashini ya kutengeneza sindano. Naam. (00:14:59) Unajua katika kama uliwahi kujifunza (00:15:01) watu hakuna mtu anakuwanga na hasira na (00:15:04) anachokanga mbio hataki vitu vya (00:15:05) kumchokesha kama mwarabu. M mwarabu ni (00:15:08) mtu an wanasema kakukinaye m maanake (00:15:11) anajidecaje mbio sana. mh kabisa (00:15:14) akakuacha mh ah watu tunawaletea (00:15:18) unajua kwanza faidi ilikuwa mtoto (00:15:21) akichukuliwa mh anapelekwa anampeleka (00:15:25) mapia rabes m wanaweza kumpeleka m (00:15:29) wakampeleka riad m wanampeleka eh (00:15:32) wengine walikuwa wanasoma li tripoli m (00:15:36) anasoma na huku anamlipa franga m lari (00:15:39) kweli kweli akirudia mtoto lakini (00:15:42) angalia kwa kweli ujinga ni wa mbaya mh (00:15:45) waliwatia ile fitina wakawatii ile (00:15:48) chacho mpaka wakafukuziwa (00:15:51) wazungu wakaendelea m wamesha kufukuza (00:15:54) uislamu wakati wamefukuziwa (00:15:57) miaka biza mil nefsa swanti mpaka m (00:16:02) nefsa septand sasa waislamu tena (00:16:04) wakaanza kutoka sasa si mwenyeongoza (00:16:07) mwenyewe naongoza si ni mwafrika sasa (00:16:09) mkongomani bakasavubu wa nani pale pale (00:16:12) mh tuko pamoja sasa pale mumil nefsa (00:16:16) septubutu (00:16:18) pale mwanzo nchi hii nchi ilikuwa (00:16:20) inaitwa tu congo m ilikuwa inaitwa kongo (00:16:23) independance ya ama mba belgita zaidi (00:16:26) balikuwa anaitwa leopold leopold leopold (00:16:29) sijue sitaingia kule sana (00:16:33) niko islamu sasa wakati ilifika milt (00:16:39) mobutu seseku Mh (00:16:43) sese seseko. (00:16:46) Ngoja nikuibie siri kidogo. Unajua sisi (00:16:49) tuko waislamu m eh unajua hii jina ya (00:16:53) sese m ahah huyu jamaa walikuwa (00:16:56) wanamuita mobudu sese m kukungwendu wa (00:16:59) zabanga. (00:17:02) kukwendu wa zabanga mobutu m nataka (00:17:05) kukuibia kasir na wakongole mzawa hapa (00:17:08) kajua akakaa sese aliongeza ko sese seko (00:17:14) aliongeza kaneno kaseko m yaani muumbaji (00:17:20) mobutu seseko mh ama mobutu mtu mwenye (00:17:25) ataishi milele tena ni muumbaji (00:17:28) akaongeza kale kaseko hatuko kule kule (00:17:31) tufikanga wakati nitakuzungumzia (00:17:33) mataguti kama utanipanga muda (00:17:35) nitakuelezea namna utwaraguti unaendea (00:17:37) nitakuletea kakakitu haka m na (00:17:39) wakongomani wenzangu wakongole waelewe m (00:17:43) sasa wakati mwutu huyu amekamata puvua m (00:17:46) ndio waislamu sasa na wakaanza kuinuka m (00:17:49) wakaanza wakajipanga wakajipanga eh (00:17:52) wakajisuleve wakajisuleve ikafika nefsa (00:17:56) sept yaani 1972 Eh (00:18:02) njoo bakatosha statongo Mobutuisha (00:18:06) kumfikia sasa unaona s tulikuwa waislamu (00:18:08) tukafanyiwa hivi tukafanyiwa hivi pale (00:18:10) njoo Mobutu akawakubalia (00:18:13) na nyie muxiste yaani na nyie mkueele (00:18:17) muxiste njoo nao wakaexiste ndio (00:18:20) wakatosha (00:18:22) kikundi chao kikundi cha waislamu (00:18:24) kinaitwa komiz (00:18:26) wakati kilikuwa kinaitwa komiza (00:18:29) komino (00:18:30) Islamike (00:18:32) desire ama uzahiri leo kinakuwa ni (00:18:35) comico community islamic republic (00:18:38) democratic cono (00:18:40) sasa wakati komiza imeingia sasa ndio (00:18:43) wanaanza wanaanza kuwa na vuma biro m (00:18:45) wanaanza wanaanza sasa kujenga vuma (00:18:47) misikiti m wanaanza kujenga eh mamazi (00:18:51) kajengewa wakaanza eh kujitahidi tahidi (00:18:53) kusoma tukabakisha sasa unajua (00:18:58) kule kwenyewe waarabu walianzia na (00:18:59) manyema kule kwa n tena njoo kukaanza (00:19:02) hata leo ukienda kasongo utakuta kuna (00:19:05) alama alama za uislamu hata kama (00:19:08) wanapigwa vita lakini utakuta wengi hasa (00:19:11) utakuta wengi (00:19:13) wanaenda kanisani ni wa kina Maimuna ni (00:19:16) wa Aisha ni wa kwa sababu ile rejime ya (00:19:19) uislamu ilibakia pale m wakabakiza (00:19:22) majina wakabakisha majina sasa ndio hivy (00:19:25) uislamu mumil nefsa sep tena ukaanza (00:19:29) kujijenga kujijenga sasa angalia (00:19:34) septembe mpaka leo m uislamu kuanza (00:19:39) kujijenga sasa (00:19:42) mtu ataanzia kuzer anaenda (00:19:46) psa anaenda ku (00:19:52) mpaka (00:19:57) mpaka leo 2025 (00:19:59) Uislamu uungale kudep sana. Ah Allahu (00:20:02) Akbar. Sijua kama sheikhe utakuwa (00:20:04) umenielewa vizuri ile de inapatikana m (00:20:09) baada ya Mobutu Seseko kukuja ndani ya (00:20:12) uongozi wa nchi ya Congo ndio Waislamu (00:20:14) wanaanza kujenga wanaanza tena kujijenga (00:20:18) 1972. Naam. Leo apr ile miaka yote ni (00:20:23) karibu tunaenda kuendeza ni second (00:20:25) jepans ni miaka 15 inaenda kuenea m (00:20:29) Allah inakaribia kuenda miaka mak (00:20:32) waislamu wa angani mdepo na ile deporusa (00:20:35) hana nguvu yoyote anasikia kudani (00:20:37) wanampiga makofi kubar wanampiga makofi (00:20:40) hiyo mizil nini hiyo materist nini kwa (00:20:43) sababu kila muislamu leo ni teroristi (00:20:49) bakuone tu na ndevu m acha ndevu sheikhe (00:20:53) acha kanzu kuona tu jina yako kart (00:20:56) mohamed bango wana moo (00:21:01) mazao (00:21:04) bango unaona sasa inakuwa njoo uislamu (00:21:06) unabakia depusa haiongezek (00:21:08) haiongezekangi m na ile depusa inabakia (00:21:11) ni depur ya jina pekee yake sasa nadhani (00:21:16) kulingana na muda yenye ulinipatia m ah (00:21:18) Allahu Akbar kabisa (00:21:20) Kwa hiyo eh tunashukuru sana watazamaji (00:21:22) wazuri ni historia tamu sana ambayo (00:21:25) inastahiki kila mtu ulimwengu mzima iwe (00:21:28) muislamu iwe katoliki iwe protestante (00:21:31) iwe sijui sebeka iwe nani inafaa (00:21:33) usikilize kwa historia ya cono utacheka (00:21:35) mwenyewe. Sasa ina maana utajijua (00:21:37) mwenyewe ugomvi unaanzia wapi? Kumbe (00:21:40) uislamu ndio unaanza ndani ya Congo. (00:21:43) Kumbe Waislamu walidhulumiwa mwanzo (00:21:46) Waislamu kuanzia mwaka wa 1972 mpaka kwa (00:21:52) sasa hivi 205 (00:21:55) 2025 (00:21:56) Uislamu uko 2% depusa (00:22:00) Allahu Akbar kabila kuna kitu ambacho (00:22:02) kiko pale ndani yake katikati tunaomba (00:22:04) uendelee pia na sisi na programu yetu (00:22:06) kama kawaida maswala mbalimbali ambayo (00:22:07) unaweza ukajiuliza unaenda kufaidika (00:22:10) mambo mengi sana tunazidi tunakumbusha (00:22:12) sana kuwa kama mnajiunga na eh mikutu (00:22:15) zetu kabisa muweze kuwa kama mnajua (00:22:18) uislamu na habari njema za uislamu (00:22:20) ambazo zikiendelea ndani nchini mwakongo (00:22:22) na ulimwengu mzima. Kwa hiyo kwa leo (00:22:24) tumeishia pale na programu yetu ilikuwa (00:22:26) mtangazo wenu Sheikh Abu Badizbati (00:22:28) nikiwa pamoja na mwenzangu Sheikh Abu (00:22:31) Marzuk ama Abu Mardhia. Kwa hiyo (00:22:35) alalamu alaikum warahmatullahi (00:22:37) wabarakatuhikumam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *